Thursday 19 September 2013

Mshindi wa BBA azawadiwa gari kwenye birthday yake

Mshindi wa Big Brother Africa 2013 “Delish Matthews” ambaye alinyakua dola za kimarekani 300,000 alisherekea Birthday yake kwa kutimiza miaka 23 siku ya jana.
Mrembo huyo alijikuta mwenye bahati hasa kwa mwaka huu baada ya kuwa milionea toka kwenye jumba la BBA mbali na hilo, amepokea zawadi mbalimbali, moja ya zawadi ni gari aina ya Volkswagen Golf GTI alilozawadiwa na mpenzi wake Stephen. 

Check zawadi nyingine alizopokea
 Akiwa na baba yake mzazi

No comments: