Monday 30 September 2013

Maajabu:Jamaa anaekaanga kuku kwa kutumia mikono

Jamaa anayefahamika kwa jina la Mr Trichan mwenye umiri wa miaka 50 anayeweza kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto kwa kutumia mikono yake.

Imeripotiwa kwamba Mr Trichan ana uwezo kukaanga kuku kwenye moto wenye 480c pia ndiye raia wa kwanza ambaye amevunja rekodi duniani kwa kukaanga kuku kwenye mafuta ya moto.

Itazame video hapa uone akifanya mambo yake

No comments: