Friday 13 September 2013

Is this Ally Rehmtullah??

Najua wengi tunamfahamu huyu jamaa mwenye tshirt yenye mistari ya rangi ya machungwa, ni miongoni mwa watu maarufu hapa bongo kutokana na kazi yake anayoifanya kama "Mwanamitindo". Ameshafanyakazi hiyo ya uanamitindo kwa muda mrefu sasa na ameweza kuiwakirisha vyema nchi yetu, kwahilo yatupasa kumpongeza. Lakini kwa hili sidhani kama anastahili kupongezwa kwani ni tukio ambalo linawashangaza wengi ukilinganisha muonekano wake kwa jamii, umaarufu wake, yaani ni jambo ambalo liko tofauti kabisa...Kwa mimi admin nimeshindwa kuamini kama kweli Ally Rehmtullah anavuta sigara na anakunywa pombe??

Inawezekana maana maisha ya mtu ni ya mtu tu kamwe huwezi jua labda uweunamfuatilia kwa sana au unakaa nae karibu au unamahusiano ya namna yeyote ile, either ni ndugu yako au rafiki yako wa karibu.

No comments: