Wednesday 25 September 2013

Hawa ndio wanamuziki wa Hip Hop wanaoingiza kisu kirefu-2013

Kwa mujibu wa Jarida maarufu duniani linalosifika kwa kutoa report za watu wenye kisu kirefu, "FORBES MAGAZINE" limereport wanamuziki wa Hip Hop wanaosadikika kupokea kipato kikubwa kutokana na kazi wanayoifanya ya uanamuziki kwa mwaka 2013

List ya wanamuziki 20 wa Hip Hop wanaokamata mkwanja mrefu kwa mwaka 2013



HAWA NAO WANAINGIZA KISU KIREFU ILA HAWAPO KWENYE LIST HIYO YA 20 HIP HOP ARTISTS WANAODAKA MKWANJA MREFU

No comments: