Saturday 3 August 2013

Rihana kama kawaida yake ajianika tena

Kwa kawaida kwa wasanii wa Marekani na kwa baadhi ya mastaa wa huko kupiga bata za mara kwa mara, lakini hii inakuwa tofauti na zile bata wanazozipiga wakiwa kwenye visiwa pindi wanapofanya ziala ya mara moja moja, kwa maana walio wengi wakipata ziara ya kwenda kuzulu kisiwa fulani basi inakuwa ni kufuru ya kufa mtu...
kama umekuwa mfuatiliaji wa post zetu za kwenye ukurasa wetu(Kibongobongo Blogspot)  na blog yetu, tulishaandika story ya Rihana kwenda kufanya party katika visiwa vya Trindady na Tobego na kumuonesha akiwa nusu uchi akiserebuka ngoma za kwao.

Mwishoni mwa wiki hii Rihana aja tena na ishu ileile ya kuserebuka huku akiwa nusu uchi na kula bata akiwa na rafiki zake na baadhi ya wadau...Miongoni mwa wadau walioonekana wakila bata hilo na mwanadada huyo ni mwanadada Capricorn (msaidizi wa zamani wa P- Diddy) na Melissa Forde.



No comments: