Friday 16 August 2013

Picha: Harusi ya dada ake Davido

Mwanzoni mwa wiki hii, dada wa mwanamuziki Davido Adeleke maarufu kama Davido wa kutoka Nigeria anayewika na vibao vyake kadhaa kama "Over See" na "Dami Dullo" na vingine kadhaa, bibie Sharon Adeleke amefunga ndoa ya kikabila/kiutamaduni huko kwao Nigeria na mpenzi wake ambaye ni Mnigeria pia.

Sharon Adeleke anayemiliki duka la Boutique ambalo linadili na uuzaji wa nguo, viatu na mapambo mbalimbali kwa njia ya mtandao "online boutique" amefunga ndoa hiyo na kuwaalika baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na kuweza kusherekea pamoja, mbali na harusi hiyo kufungwa nchini humo (Nigeria), pia wapenzi hao wanatarajia kufanya harusi hiyo mbali na walivyofanya kiutamaduni mwezi September, 01 siku ya jumaamosi huko Miami nchini Marekani.
 Familia ya mzee Adeleke akiwa na watoto wake
 Sharon na best wake
 Sharon na best wake mwengine
 Sharon na mumewe
 Davido na kaka yake
 Davido na braza zake
 Davido na braza zake wakitumbuiza

No comments: