Wednesday, 14 August 2013

Kenyatta kwenye party ya Miss Karun

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameonesha ukaribu wake na wanajamii kwa kile kitendo ambacho hufanywa na viongozi wachache sana kwa kuweza kuhudhuria shughuri ya mwanadada Karun aliyekuwa akifanya sherehe ya kuitambulisha album yake mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.
Miss Karun aliyewaikuwa miongoni mwa wanamuziki wanaounda kundi la Camp Mulla, usiku wa jana alifanya sherehe hiyo ya kuitambulisha album yake mpya katika ukumbi wa Muthaiga Golf Club na kuhudhuriwa na wadau wengi wa nchini humo na baadhi ya watu wazito akiwemo rais huyo wa Kenya (Mh. Uhuru Kenyatta).
Baada ya tukio hilo mwanadada huyo ali'tweet

No comments: