Wednesday 24 July 2013

Wakenya wadhihilisha jinsi gani wanamkubali Diamond

Baadhi ya wamiliki wa Daladala nchini Kenya, wamedhihilisha ni jinsi gani wanamkubali mkali wa bongo fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz kwa kitendo cha kupiga "Tatoo" daladala zinazopiga rout za town...hii ni namna tu ya upendo kwa msanii huyo maana hata hapa kwetu bongo hakuna mmiliki hata mmoja aliyeweza fanya kitendo kama hicho...

No comments: