Tuesday 23 July 2013

Transparent ya Rihana yaleta utata

Kama unakumbuka mwanzoni mwa wiki iliyopita mwanadada Rihana alileta mpya baada ya kwenda shopping na nguo za kuogelea na kuleta stories kibao kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii...mbali na issue hiyo, Rihana akuonesha kujali na akaamua kuja na mpya nyingine baada ya kutupia kitu cha transparent akiwa anatoka Hotel moja maarufu nchini Sweden alikokuwa na ziala ya muda mfupi nchini humo.

Kitendo hicho kiliistaajabisha jamii ya watu wa nchi hiyo kwani aikuwa kawaida hasa kwa msanii kama huyo mkubwa kufanya kitendo kama hicho cha kujidharirisha. Kwa upande wake Rihana hakuonesha kujali kwa kile alichokifanya.

No comments: