Thursday 25 July 2013

Ruth Mtata ni Up-coming Artist kwenye gospel

Ni binti anayefanya vizuri kwenye game ya muziki wa injili "Gospel"...anakuja na Album yake inayoitwa "Mungu Amejibu" ikiwa imesheheni nyimbo kibao zenye ujumbe mzuri wa kumtukuza mungu....hivyo anaomba sana support yenu wadau wa muziki huu kwa kuweza kununua Album yake.

Hizi ni baadhi ya nyimbo zake zilizo kwenye Album yake,
Waweza kusikiliza na kudowload pia:

No comments: