Thursday 25 July 2013

Picha: Kikwete aweka jiwe la msingi uwanja wa ndege Bukoba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe 
la msingi la upanuzi wa Uwanja wa Ndege 
wa Bukoba jana Julai 24, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe 
kuzindua upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Bukoba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha
 ya pamoja na viongozi wengine pamoja na  
wadau mara baada ya uzinduzi wa uwanja huo

No comments: