Saturday 1 June 2013

Madrid waamua kutengeneza sanamu ya Ronaldo

Real Madrid wameamua kupotezea tetesi juu ya staa wao Cristiano Ronaldo kutaka kuihama klabu hiyo kwa kuanza taratibu za kutengeneza sanamu lake ambalo litawekwa kwenye makumbusho ya klabu hiyo maarufu duniani.
Vipimo vimeshaanza kuchukuliwa na pozi alilochagua ni lile akiwa anajitayarisha kupiga mpira wa adhabu.
Pichani akionekana katika mtulivu huku vipino vikichukiliwa hapo jana.

No comments: