Friday 3 May 2013

Matokeo ya kidato cha nne 2012 kusahishwa upya

Tamko hili limetolewa leo bungeni na waziri Lukuvi, kuwa mitihani ya kidato cha nne ya mwaka 2012 itasahishwa upya. Hii imetolewa baada ya mapendekezo yaliyotolewa na tume iliyoundwa kufuatilia tatizo hilo la kufeli kwa wanafunzi wengi mwaka 2012.

Pia ametamka kusitishwa kwa kuanza kutumia viwango vipya vya kufaulu vilivyotolewa na NECTA mwanzoni mwa mwaka huu.

No comments: