Monday 13 May 2013

Kijana aliyehusika na ulipuaji wa bomu Arusha

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari mbalimbali vimedai kuwa huyu ndiye kijana anayefahamika kwa jina la VICTOR AMBROSE CALIST mwenye umri wa miaka 20, mkazi wa Arusha amehusika kulipua bomu katika kanisa katoliki mjini Arusha.

No comments: