Monday 6 May 2013

Dj Mono kuzikwa kesho Butambala - Uganda


Dj Mono wa Uganda aliyefariki dunia May 2 mwaka huu huko India alikokwenda kwenye matibabu mwili wake unatarajiwa kupumzishwa kesho Butambala, wilaya ya Mpigi nchini humo (Uganda)  
D.J Momo (RIP)

No comments: