Monday 7 January 2013

DNA apiga stop kwa wanasiasa wanaotumia nyimbo zake

DNA

Uongozi wa GrandPA Records iliyochini ya msanii DNA wa Kenya umewapiga marufuku wanasiasa wa nchini humo kutumia nyimbo zake kwa maslahi yao binafsi kwenye siasa.
Katika maelezo yake, GrandPa wamesena:
“It has come to our attention that politicians across the country are heavily using music owned by GrandPa Records, along with DNA’s back catalogue, for purposes of seeking popularity, self-promotion, and promotion of their agendas.”
Wanasiasa wamekuwa wakitumia zaidi nyimbo za msanii huyo zikiwemo “Chapa/Fimbo Ya Pili”, “Maswali Ya Polisi” na “Banjuka” ili kuwavuta wapiga kura.
“We would like to categorically state that WE PROHIBIT ALL POLITICAL ALLIANCES, PARTIES, and CANDIDATES FROM PLAYING/ USING OUR MUSIC AT POLITICAL RALLIES, MEETINGS, AND ANY OTHER FORMS OF EXPLOITATION, WITHOUT WRITTEN CONSENT FROM GRANDPA RECORDS,” yamesema maelezo hayo.
GrandPa imeonya kuchukua hatua kwa mtu yeyote atakayeendelea kutumia nyimbo hizo bila ruhusa.

No comments: