Monday 22 October 2012

hongera dada aziza kwa kuhitimu first degree

 Aziza na Arafa (her young sisy)
Dada Aziza akiwa na shosti zake
Jumaapili ya tar 21/10 my dada Aziza Mkwata alihitimu degree yake ya kwanza ya Bachelor Honors of Science in Business Information System katika chuo cha Linton University College with collaboration University of East London UK nchini Malysia.So Nikiwa kama C.E.O wa blog hii napenda kumpongeza my lovely dada, AZIZA MKWATA kwa kufanikiwa kuipata degree yake ya kwanza. Nakutakia maisha mema na yenye baraka tele my dada...be blessed!!

No comments: