Wednesday 5 September 2012

R.I.P DADA AGNES KIYAME

Dada Agness Kiyame aliyefariki usiku wa kuamkia jumanne ya tarehe 4 kwa bahati mbaya hadi sasa hatujajua chanzo cha kifo chake japo watu wa karibu wanaripoti kuwa alipata uchungu wa mimba kabla ya siku zake ndipo aliwahishwa hospital na mauti kumfika. Dada Agness tulisomanae (form 1-4) 2002-2005 katika shule ya sekondari Kihonda iliyopo Kihonda Mkoani Morogoro. Marehemu Agness alikuwa na sifa zifuatazo kwa wengi tuliomjua kwa kipindi tulichokuwa nae takribani miaka mnne Kihonda Sec.
  1. Binti cheshi, Shupavu, hodari, makini, Mpiganaji, Asiye na Majivuno, Asiye na Kiburi, Mpenda watu, Mtanashati na Mwenye Kujiheshimu.
  2. Ni yeye ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza wa jumuiya ya wanafunzi wa Kikristo inayoitwa UKWATA.
  3. Pia alikuwa ni mwimbaji MAHIRI wa nyimbo za Injili hapo KH
 Kwa niaba ya ndugu, jamaa, rafiki wa karibu kabisa wa dada yetu mpendwa Agness Kiyame napenda kutoa pole kwa familia na ndugu wote waliofikwa na msiba huu. Kwani hatuna budi kumuombea dada Agness apumzike kwa amani kwa mbele yake nyuma yetu...Bwana ametoa na bwana ametwaa...R.I.P DADA YETU MPENDWA AGNESS KIYAME HAKIKA TUTAKUKUMBUKA..Amen!!

HAWA NI BAADHI YA JAMAA WAKARIBU AMBAO WALISOMA NAE DADA AGNESS KIHONDA SEC. 2002-2012 NA HAYA NDIYO WALIYOANDIKA KWENYE GROUP PAGE LA KIHONDA SEC. KWENYE FACEBOOK BAADA YA KUPATA TAHARIFA YA KIFO CHAKE:

Innocent Christoppher Kilogha 
Bad news  kwa wana kihonda sec AGNES KIYAME Hatunae tena  amefariki jana akiwa Iringa, Mungu amlaze mahali pema peponi Amen
Joel Masambaji Omg!! Ni yupi huyo qaqa. Mungu amlaze mahali pema pepon

Samnp Makaranga haya,ts very bad news to me coz she was ma clas met since primary,may da LORD GOD rest her in peace,we wl mis yo AGNES.
Sama Kafu may she rest in peace


Vay Sakaya OMG Nimeambiwa na m2 but nlidhan masiara

Evance Haule Dah! ebana inasikitisha xana, but hatuna jinsi sisi tulimpenda but Mungu kampenda zaidi. pumzika kwa amani Sister

Vay Sakaya RIP Agness we wll miss you Alot.. dah! aisee

Evance Haule kweli mpaka sasa bado siamini@Vay Sakaya


Maureen Semwaiko Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe,

Veronica Kessy Mungu akurehemu Agnes. Sisi sote tu mavumbi na mavumbini tutarudi.

Elautery Peter tuliishi kihonda kama watoto wa baba mmoja inauma sana but we are on the way to you dada.
Paul K. Mushi RIP Agnes! Let's  pray for her to be at the right hand of God.She used to b Singer at skl and ukwata.Lord don't forget her soul to be at the safe place there in heaven. Amen.
Faby Peter aisee...nimehisi uchungu sana bt i can do nothing.. lets pray for her family to get strong at ths difficult moment..
Mussa Matokeo Nashindwa kucomment kwa kweli yaan leo nimeumia jaman maana 2lizoea taarifa za bithday,harusi na party mbalimbali ila leo kwa mara ya kwnz 2napokea bd newz..ooh lord rest ha sour in peace 2limpnda xana bt mungu kampenda zaid inlah lilah wahinnah lilah laaajiun..

Sophy Adam So sad, RIP AGNES!

Francis William inna lilah wa inna ilah rajiun..... R.I.P agy

Ahmed Khaks Dos Santoc daaah it pains alot.rest in peace csta

Ahmed Khaks Dos Santoc ila jamani kwa yeyote atakayejua msiba ulipo either moro au huko iringa tujurishane.ili tutafute means za kushirikiana coz umoja wetu unahitajika zaidi hususani ktk hili la msiba
Robert Masalu Still Am not Understanding this!! gonna too soon dada...RIP Aggy, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE-Amen

Sophy Adam Kwa taarifa nilizoambiwa ni kwamba msiba upo pale kwao nadhani ni karibu na kihonda sec ratiba kamili bado haijajulikana.

Ahmed Khaks Dos Santoc kitakachoendelea basi usikose kutujuza @sophy

Renfrid William RIP dada yetu kipenzi!

Innocent Christoppher Kilogha When I looked back on photos with her I can't stop the tears to flow, R.I.P Agnes

Edgar Leo Mamboi R.I.P DADAA!..MUNGU AMETOA  NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIBIDIWE.

Hassan Maganga inalillah wa innalilah lajiun


Tausi Mbonile Kwake tumetoka na kwake tutarejea. R.I. P Ag. Umetangulia nas tutafuata...

Godfrey Venance tulimpenda ila yeye kampenda zaidi amlaze mahala pema pepon AMINA

      No comments: