Wednesday 22 August 2012

bi kidude hali ni tete

Yule gwiji la muziki wa mwambao afrika Fatuma bint Baraka imelipotiwa kuwa hali yake kwa sasa sio nzuri kiafya mpaka kupelekewa kulazwa katika hospital ya Mnazi mmoja huko Zanzibar, dua zetu ni kitu muhimu sana kwa bibi huyu hili hali yake irudi kawaida.

No comments: