

Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC

Mdau akmipiga picha Linah alipokua kwenye show

Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha song
mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii
Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana
sana Washington DC nchini Marekani

Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC

Linnah kwa steji akiwarusha mashabiki wake

Linah akiwa na waandaaji wa show hiyo
No comments:
Post a Comment