Habari hii kwa hisani kubwa ya Unique Entertainment blogspot
Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo lililojulikana
kama Uni Fashion Bash kutoka vyuo mbalimbali vya
mjini Dodoma wakicheza wakati wa utambulisho
lililofanyika Royal Village Dodoma jana.
Baadhi ya washiriki wa shindano la mitindo Uni Fashion
kwa upande wa wanaume
Mshindi wa kwanza wa shindano hilo, Respicious Denis (kushoto)
kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) akipokea zawadi yake ya
shilingi laki tano(5,000,000)kutoka kwa mwakilishi wa TBL
kanda ya kati John Tesha, baada ya kutangazwa mshindi katika
shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Royal Village mjini Dodoma jana.
Baadhi ya washiriki wa shindano la ubunifuwa mavazi
lililojulikana kwa Uni Fashion Bash kutoka vyuo
mbalimbali vya mjini Dodoma wakitambulishwa jukwaan
Mshindi wa kwanza wa ubunifu wa mavazi wa 'UNI fashion Bash'
Irene Rwakatale (kushoto) akipokea zawadi yake ya
shilingi laki saba(7,000,000) kutoka kwa Meneja wa Redds,
Victoria baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo jana.
Baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo malimbali
vya mjini Dodoma wakishangilia wakati wa shindano hilo.
Mwana FA, akiwapa radha madent wakati wa shindano hilo.
Mwana FA, akipagawisha na mmoja wa shabiki wake
jukwaani wakati wa onyesho hilo.
No comments:
Post a Comment