Thursday 4 August 2011

RIHANNA AWASILI KWAO UCHI

Mwanamuziki anaetamba ulimwenguni na kibao chake cha Man down, hivi karibuni awasili nyumbani kwao Barbados kimira zaidi huku akiwa amevaa nusu uchi...Rihanna alisindikizwa na ngoma za kikwao huku akicheza na kushangilia akiwa na watu kibao waliompokea kwa furaha isiyo kifani. 
Rihanna akifurahi zaidi

No comments: