Thursday 21 July 2011

NI KWELI JAMAA WAMEFULIA?

Baadhi ya wasanii wa bongo flavour waliotamba miaka ya 2000 hadi mwishoni mwa 2005 inasemekana wengi wao wameishiwa. Japokuwa kuna waliojikongoja kwa kutoa track japo hazikuwika kama zile walizotoa awali.
Swali je ni kweli jamaa wamefulia a.k.a wameishiwa uwezo wao?
 Philipo Nyandindi "O-Ten"
 Zay b
 Anthelem Transfon Ngaiza "Soggy"
 
Nice Lukas "Mr. Nice"
 Mike tee
 Mb Dog
 King Crazy GK
Daz Nundaz
K- Lynn

1 comment:

ishya dallo said...

hahah hao wengine no comment...ila k-lyn hata asipotoa single naona bado yupo juu!!