Tuesday 14 June 2011

BET AWARDS VOTE-CAR IN STREET VOTE

 
lile gari linalotumika kwa kupiga kura za nominees category laanza kutembelea mtaa kwa mtaa kwa ajili ya watu kupiga kura zao kwa wanamuziki walioteuliwa kugombea vipengele tofauti.
Onesho hilo linalotarajiwa kufanyika tarehe 26 june.

No comments: