Monday 31 January 2011

KWELI OLD IS GOLD

Leo nataka kuwathibitishia kuwa old is gold yaan vya kale ndio fashion kwa sasa.Naanza na SUPRA.
Kiukweli Supra ni toleo lililo'copiwa toka kwa LA yaan aina ya raba ya zamani iliyojulikana kwa jina la LAGAER. Pia supra ni muigo wa raba aina ya REEBOK na NIKE AIR zile za miaka ya 1970's hadi 1990's.
Cha kushangaza sasa fashion hiyo ndiyo imekamata ulimwengu wa mavazi ya raba kwa sasa.
REEBOK moja ya Copy ya SUPRA
 NIKE moja ya copy ya SUPRA


LAGAER moja ya copy ya SUPRA
CHEK SUPRA ZENYEWE SASA AMBAZO NI TOLEO LA SASA NA NI FASHION INAYOSUMBUA ULIMWENGU WA MAVAZI YA VIATU

No comments: