Monday 24 March 2014

Tinie Tempah amualika WizKid London

Msanii anayewika sasa huko nchini Nigeria, Wiz Kid amepata mualiko huko nchini Uingereza kutoka kwa mkali Tinie Tempah msanii kutoka Marekani kuja kumsapoti kwenye show zake anazotarajia kufanya nchini humo "Manchester Apolo na London 02 Arena".

No comments:

Post a Comment