Monday 24 March 2014

Michelle Obama ziarani China

Mke wa rais wa Marekani "Michelle Obama" amefanya ziara huko nchini China akiwa na watoto wake Sasha na Mary wakitembelea sehemu mbalimbali za makumbusho zilizopo nchini humo.

No comments:

Post a Comment