Tuesday, 3 December 2013

Moto wateketeza godauni la pombe huko Kenya

Moto wateketeza godauni la kuhifadhia bia/pombe lililopo jirani na njia iendayo Mombasa nchini Kenya. Godauni hilo lifahamikalo kwa jina la Africa Spirits Limited limeteketea pasipo julikana chanzo cha moto huo.
Kwa mujibu wa waajiriwa wamedai walikuwepo ndani ya godauni hilo wakati moto ukitokea na umeweza kuwajeruhi baadhi yao na mbaka muda ule walishafikishwa hospitali ya Mariakani kwa majeraha madogo kutokana na kuungua kwa moto huo.
Senetor Mike Sonko alipowasili eneo la tukio

No comments: