Thursday 2 May 2013

Wema kuamishia penzi kwa Izzo B

Hii ndio habari iliyo'make headline kwa sasa...Baada ya bibie Wema Sepetu kutokea kwenye uzinduzi wa wimbo aliouachia week'end hii mtu mzima Izzo B unaoitwa "Love me" na kujiachia kwa mapicha kazaa baada ya show hiyo kumalizika.

Kuthibitisha hilo mtu mzima Izzo B akavutiwa waya na C.E.O wa gazeti la makorokocho kutoka Clouds Fm, Soud Brown alikanusha habari hiyo; alisema "we are just friends tu, ni mshkaji kama washkaji zangu wengine...alitokea juzi kwenye uzinduzi wa wimbo wangu unaoitwa love me niliofanya na Barnaba na Shaa, so waliibuka friends kibao kina Kajala tukashow love..." aliongeza "huwa tunataniana darling..."

1 comment:

  1. They will make a good couple!! Sio mbaya bidada akijiweka apo

    ReplyDelete