Friday 3 May 2013

Baadhi ya picha za pambano la Cheka na Mashali

Francis Cheka a.k.a SMG juzi (tar 1 May) na mpinzani wake Thomas Mashali a.k.a Mnyama mwenye mkanda wa Africa Mashariki na kati (Super middle) walizichapa katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini DSM kuwania mkanda wa IBF Africa.
Cheka aliibuka kinara wa pambano hilo kwa kumtandika Mashali kwa KO "Knock Out" round ya 10 na kuweza kuendelea kumiliki tena ubingwa huo ambao alikuwa anamiliki mwaka jana kwa kumtwanga kwa point mpinzani wake Chiotra Chimwene wa Malawi.
Cheka baada ya kutangazwa mshindi

No comments:

Post a Comment