Tarehe 15/12/2012 jamaa wangu wa karibu sana kwa muda mrefu tumeishi pamoja, Sadiki Issa aling'oa jiko. Shukrani sana kwa washkaji wa SUA kwa support waliyoitoa kwa jamaa yetu. Pia tunamshukuru mungu kwa kufanukisha tukio hili na tunaomba azidi wapa kheri na mafanikio katika maisha yao ya ndoa.
Ni tukio ambalo kila mwanadamu anapaswa kulipitia katika maisha yake,kwani katika maisha ya mwanadamu kuna njia/matukio matatu muhimu lazima kila mtu ayapiti ambayo ni kuzali, kuoa/kuolewa na mwisho ni kufa. Pia unaweza kutolifanikisha ili either kwa bahati mbaya M/Mungu akikuchukua. Hivyo basi Inshaallah M/Mungu ampe mafanikio katika maisha yake yote ndugu yetu Sadik Issa.
No comments:
Post a Comment