Hili ni jiwe jipya la mtu mzima belle 9 linalotalajiwa kudondoshwa hivi punde. Ngoma hii inaitwa LISTEN imetengenezwa studio za ONE LOVE FX chini ya producer TIDDY HOTER. Video imetengenezwa na Director NISHER. Get ready to here and see dat!!
Na hizi ni baadhi ya picha alizonitumia mnyama Belle 9 zilizo kwenye video hiyo
Belle 9 na Director Nisher
1 comment:
Huyo msichana anaitwa nani
Post a Comment