Leo majira ya saa sita mchana nilipokea taarifa ya kupoteza jembe letu kutoka BSW #Team Bongo Street Wear# yenye maskani yake Moro-Town @ Konga street almaarufu kama Braza Rogaroga.
Shughuli iliyompa umaarufu na kuweza kufahamika na watu wengi mjini moro ni kuuza skrepa za magodoro akiwa na jamaa yake wa karibu sana bana Mkabala.
Team nzima ya BONGO STREET WEAR ikishirikiana na KIBONGOBONGO BLOG wanakuombea kwa allah upumzike kwa amani Jamaa yetu, kaka yetu, mshkaji wetu ROGAROGA
Inlla lilah wahinlah lillah laajiun

No comments:
Post a Comment