Monday, 12 December 2011

KUTOKA KWA DR. WILBRORD SLAA

 
DR. WILBRORD SLAA
Aliyekuwa mgombea urais kupitia chama 
cha maendeleo na demokrasia (CHADEMA)
'Dr. Wilbrord Slaa' 
ameiambia jamii kupitia mtandao wa kijamii maarufu kama 
Facebook kuhusiana na suala zima la maendeleo..
Nanukuu: 
"Maendeleo si magorofa ya Dar es Salaam, maendeleo ni upatikanaji wa mahitaji muhimu kwa kila Mtanzania.Tunahitaji kufungua macho na kutizama upya Tanzania tunayoitaka".
Like: 1,415
Comments: 575

No comments: