
Mnenguaji mahiri wa African Stars "Twanga Pepeta" Baby K akilitawala jukwaa vilivyo

Mnenguaji mahiri wa "Twanga Pepeta" Asha Sharapova akilitawala jukwaa vilivyo

Kimwana wa Twanga Pepeta Mary Khamis naye hakuwa nyuma kuufanikisha uzinduzi wa Twanga Pepeta!

Mnenguaji mahiri wa African Stars "Twanga Pepeta" Fasha Sunday akilitawala jukwaa vilivyo.
PICHA NYINGINE ZAIDI, CHECK KWENYE PAGE YA TWANGA PEPETA
"http://www.facebook.com/twangapepeta"
No comments:
Post a Comment