Thursday, 13 October 2011

R.I.P Mwl. JULIUS KAMBALAGE NYERERE

Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambalage Nyerere ambaye alikuwa ni rais wa kwanza wa Tanganyika
aliyeisaidia kwa namna moja au nyingine nchi ya Tanzania kupata uhuru wake tok kwa wakoloni mwaka 1961
Hivi sasa anatimiza miaka 12 tangu kufariki kwake mnamo tarehe 14-10-1999.
Nyerere atakumbukwa kwa mengi sana sababu alikuwa mpenda amani, anayejali na kuitetea haki ya mtanzania, pia alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa, ufisadi na ubaguzi wa rangi.
NYERERE AKIKEMEA RUSHWA

NYERERE AKIZUNGUMZA JUU YA KODI

NYERERE DHIDI YA UBAGUZI WA RANGI

No comments: