Bushman
The Gods Must Be Crazy ni filamu ya mwaka 1980, iliandikwa na kuongozwa na Jamie Uys. Ilichezewa Botswana na Afrika Kusini , inaelezea hadithi ya Xi, Sho ya Jangwa la Kalahari (alicheza Mnamibia San mkulima N! xau ) ambaye alicheza kama mkulima ambae hana maarifa ya dunia zaidi.Mbali na ile ya The Gods Must be Crazy ya tatu ambayo alichezea Hong-Kong. Gharama ya kutayarishia filamu hiyo ilichukua takribani US $ 5,000,000 kukamilika kwa filamu nzima.
Bushman na wanae kwenye moja ya part ya filamu
Story ya filamu hiyo ilianzia kwenye chupa, ambapo kulikuwa na wazungu wawili kwenye ndege wakinywa soda, baada ya kumaliza wakatupa ile chupa ya soda ya CocaCola nakuokotwa na watoto waliokuwa wakitembeatembea porini,kisha wakaipeleka kijijini na kuanza kuishangaa hiyo chupa kijiji kizima(jamii hiyo ya Bushman). Punde ikawa inatumika kwa shughuli mbalimbali kama kutwanga vitu mbalimbali, na hatimaye ikaleta ugomvi na kuamuliwa ikarudishwe angani ilikotoka.
Siwezi kukupa story yote kama vipi itafute ni filamu nzuri sana kwa maisha ya kiafrika.
Miongoni mwa wanakijiji wakiishangaa chupa hiyo iliyoleta mtata
No comments:
Post a Comment