Thursday, 6 January 2011

PATA T-SHIRTS ZA KIBONGO

Wale watengenezaji wa flana, t-shirts, Tops, Shirts, Skeeper, Cap zenye chata za kibongo yaani nawazungumzia BONGO STREETWEAR..wanakutangazia kuwa wametoa material mapya, hivyo wasiliana na wauzaji wao wa karibu uweze jipatia t-shirts hizo.
 Baadhi ya chata ambazo wanatengeneza
maduka yanapatikana Morogoro mtaa wa Konga na Dar-es-salaam- mwenge
Pia wanawazambazaji wao kwa mikoani Mfano Dodoma Chuo cha MIPANGO, CBE na UDOM kwa wakazi wa Dodoma piga 0714572287 au 0753188613..utapata kwa bei poa
NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments: