Tuesday, 4 January 2011

TOUR YA NEW YEAR MORO..

(Mtanisamehe wadau sikuweza piga picha za kwenye basi sababu camera iliisha chaji), but nilipanda basi la Mombasa Raha na nika'drop Moro kwenye cha 9 flani.
Baada ya kutua mji kasoro nikadondoka dukani kwa brother (Bongo street wear) mtaa wa Konga, tukakinukisha pande hizo hadi time ya saa 12:30. 
Huku nikikodolea new logo za Tishirts na mastori kibao ya hapa na pale.
As you know lazima nikinukishe maskani kwa wanangu, so time za saa 1:15 nikakinukisha pande zile..ebana dah!kumbe mnyamwezi Belle 9 nae akawa amekinukisha mji kasoro kuungojea mwaka mpya, so tukagonga story mbli tatu huku tukimuenzi Mfalme wa Regge hadi time za 2:30 kila mtu akakisanua home kwa kujiandaa na mkesha wa mwaka mpya.
Mjafanja nikadondoka maghetoni time za 3:40. Ghafla nikagongewa 4n na Dj Godo kujiachia kwenye mkesha wa mwaka mpya ndani ya club maarufu Moro-town "4-stars", Nikajidondosha time za cha 5 nikakutana na mchizi wangu wakitambo flani hivi bwana Frank 'King'.

SIKU YENYEWE SASA '1-1-2011'
kwanza niligonga alot of pilau, then tukajigonga pamba nakujiachia Club
 
Nilikuwa nikijiuliza ntoke vipi
 Dogo akishow luv kwa club
 wanna wakishow luv kwa club
 Musiki umekolea mwanzo mwisho
Duh! mjafanja aki'dance kwa step
Ziko picha nyingi zenye matukio ya mwka mpya but mengine next tym..

1 comment:

HELPING HANDS TANZANIA said...

hey there can you help our organisation to advertise with your blog? we will be happy if you help us with this here is our website www.helpinghandstz.org

you can email me on this email nelsonchami@yahoo.com
phone +255755889676/784889676