Friday, 7 January 2011

BIFU LA NICKI MINAJ NA KIM

 
Bifu lililochukua uwanja mkubwa kwenye game ya musik wa Hip Hop nchini marekan. Bifu hilo lilianza baada ya mwanamuziki Nicki Minaj alipoibuka kwenye game na kuiba style ya mwanadada Lil Kim ambaye alipotea kwa muda baada ya kuingia jela. Mwanadada huyo (Nicki) anayetokea kundi la Young money alikuwa na lengo la kuua muziki wa Lil Kim anayetokea kundi la Bad Boys.
 
Nicki Minaj alizidi kujenga bifu hasa pale alipohojiwa na vyombo vya habari kuhusu style anayotumia akasema ni yapeke yake.
 
Lil Kim ilimpelekea kumshtaki Minaj
 
Na hivi karibuni Minaji ameachia album yake inayokwenda kwa jina la "MY FRIDAY" ndani ya album hiyo kuna nyimbo ambazo anaelezea bifu lao na kumponda kim.
 Bifu hilo likapelekea waasimu hawa kupunguza urafiki na kutengeneza alot of mkwanja kupitia wanamuziki hao

No comments: