Alicia Keys na mchumba wake Swizz Beat hivi karibuni wamebariki ndoa yao Afrika ya kusini, pia wamembariki mtoto wao mtarajiwa ambae bado hajazaliwa. Maarufu hao walienda pia kwa lengo la kushuhudia world cup inayoendelea huko Afrika ya kusini. Swizz Beats ambaye ni produza na muimbaji wa hip-hop amevisibitishia vyombo vya habari kwamba anampenda sana mkewe "Alicia" na mtoto wake mtarajiwa.
No comments:
Post a Comment