Friday, 25 June 2010

KUMBUKUMBU YA WACKO JACKO


Usiku wa leo kuamkia kesho ndio siku aliyetutoka mfalme wa pop duniani 'MICHAEL JOSEPH JACKSON' aliyezaliwa 29 August 1958 na kufariki 25 Juni 2009. Michael Jackson alizikwa Forest Lawn Memorial Park, Los Angeles USA alipozikwa bibi yake mzazi. Maombolezo na mazishi yalianza saa 10:00am (mda wa Los Angeles) July 7, 2009  Staples Centre, Los Angeles, USA. Yaliuzuliwa na mamia ya wapenzi wake.

No comments: