Wednesday, 4 March 2015

Wanaume wa kituruki watupia sketi

Kikundi cha wanaume wamejikuta wakitupia sketi katika maandamano ya kutetea haki za wanawake nchini humo...Wanaume hao walioungana na baadhi ya kikundi cha wanawake wa nchini humo walifanya maandamano hayo juzi "tarehe 24/02" kuadhimisha siku ya mwanamke nchini humo baada ya mauaji yaliyofanyika miaka 20 iliyopita na kuuwawa kwa wanawake wasio na hatia.
Kitendo hicho kimeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya nchi zetu za Afrika hususani kwa sisi wa Afrika mashariki.

No comments: