Kweli wazungu siwenzetu...jamaa aliyepata matatizo ya macho akiwa na umri mdogo na kutoweza kuona kwa kipindi kirefu, amepatiwa kitu cha kitaalamu ambacho kimemsaidia aweze kuona taswira za vitu mbalimbali. Jamaa huyoambaye alikua hakubahatika kumuona mke wake kwa takribani miaka kumi sasa, ameweza kumuona na kitemdo ambacho kimemfanya awe na faraja sana.
No comments:
Post a Comment