Hii imetokea juzi kwenye party ya kusherehekea tuzo za Oscar zilizofanyika huko Hollwood Marekani baada ya tuzo hizo kufanyika, ndipo baadhi ya mastaa walioshiriki tuzo hizo walihudhuria tafrija hiyo akiwemo mwanadada aliyesumbua kwenye tuzo hizo mnamo mwaka jana "2014" kwa kunyakua tuzo ya muigizaji bora wa kike, Lupita Nyong'o mwenye asili ya kikenya (Mzaliwa wa nchini Kenya).
Kwenye tafrija hiyo mwanadada Lupita aliambatana na mdogo wake aitwae "Peter Nyong'o" aliyeonekana anapenda sana kuuza sura na watu maarufu.. hii imethibitishwa kwa kuzitumia nafasi hizo za kukutana na mastaa na kuamua kupiga nao picha. Mwaka jana "2014" kijana huyo alionesha kutoridhika kwa kupiga picha na baadhi ya mastaa wakiwemo Ellen, Brad Pitt, Angelina Jolie, Bradley Cooper. Jennifer Lawrence,
Jared Leto, Meryl Streep, Channing Tatum, Julia Roberts, Kevin Spacey...Baada ya dada yake kubaini hilo ndipo alipoamua kumkutanisha na Beyonce na kuweza kubahatika kupata picha yapamoja...
Alichopost Lupita Nyong'o kuhusiana na picha hiyo...:“What are sisters for”?
Just introduced my brother to @beyonce. What are sisters for? @nyongolaflame @VanityFair party #Oscars.

“What are sisters for”?

Read more at: http://www.sde.co.ke/article/2000152674/lupita-s-brother-peter-nyong-o-meets-international-star-beyonce

Read more at: http://www.sde.co.ke/article/2000152674/lupita-s-brother-peter-nyong-o-meets-international-star-beyonceV

Ellen, Brad Pitt,
Angelina Jolie, Bradley Cooper. Jennifer Lawrence, Jared Leto, Meryl
Streep, Channing Tatum, Julia Roberts, Kevin Spacey
Read more at: http://www.sde.co.ke/article/2000152674/lupita-s-brother-peter-nyong-o-meets-international-star-beyonce
Read more at: http://www.sde.co.ke/article/2000152674/lupita-s-brother-peter-nyong-o-meets-international-star-beyonce
No comments:
Post a Comment