Saturday, 5 October 2013

Psquare waja tena bongo

Wakali kutoka Nigeria, Peter Okoye na Paul Okoye "P-Square" wanatarajia kutua Bongo (Tanzania) mwishoni mwa mwezi November....kwa mujibu wa chanzo chetu kimesema jamaa hao watakuja kupiga show iliyopangwa kufanyika tare 23/11 jijini DSM kwa hisani ya East Africa Television (EATV).

Wakali hao wakiwa ni wasanii pekee kutoka Afrika wenye kusumbua ulimwengu kwasasa kwa kuwa na vibao vikali kama Alingo, Personally na vingine kibao watatua bongo ikiwa ni mara yao ya pili sasa kuja tangu waje kwenye concert iliyopewa jina la "DO ME CONCERT"...enzi izo wanatamba na kibao chao cha Do Me.
Psquare kwenye DO ME Concert

No comments:

Post a Comment