Friday, 4 October 2013

Ombaomba ajipaka mavi ili awatishe watu wampe hela

Kijana aliyegeuka kituko baada ya kujipaka mavi mwilini ili kuwashawishi watu wampe pesa. Kijana huyo aliyeshindwa kujulikana jina lake na ni mwenye matatizo ya akili au lah!.
Hata hivyo jitihada zake zikashindikana baada ya watu kukataa kumpa pesa na zaidi wakapanga kumpiga kwa kitendo hicho ambacho kilichafua hali ya hewa katika eneo hilo.

CHANZO: USWAZI BLOG

No comments:

Post a Comment