Friday, 4 October 2013

Kijana wa kitanzania aliyetengeneza App inayosupport kwenye simu zenye Android

Anaitwa Sweetbert Abednego a.k.a Da Tallented Boy, ni mdau mkubwa sana wa blog hii...huyu jamaa naweza sema ni miongoni mwa vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kucheza na network...kama hujui huyu ndiye kijana wa kitanzania, anayeishi Tanzania ambaye ameweza kutengeneza Application ya kwenye Androids!!

Ametengeneza App ya redio iliyopo Zanzibar "Zenj FM". Kwa namna hiyo basi waweza kuinstall Application hiyo na kuipata Zenj FM live bila ku'browse kwenye Google kama unavyoinstall Apps zingine kama Facebook, Twitter, Whatsapp, Instagram,..na App zingine.
App yenyewe ni hiyo iliyoandikwa "Zenjfmradio"

Naamini watanzania tunawe sema tunashindwa kuzitumia fulsa tulizonazo ili kufanya kile ambacho kitakuwa kina changia maendeleo kwa namna moja amana nyingine.

No comments:

Post a Comment