Saturday, 5 October 2013

Picha: huyu ndiye mama Temba

Huyu ndiye mama mzazi wa Mh. Temba ambaye anaishi mkoani Moshi. Picha imepigwa baada ya wasanii hao (Mh Temba na Chege) kwenda kumtembelea mama Temba nyumbani kwake huko Moshi wakiwa kwenye ziara ya Serengeti Fiesta - 2013 ambayo inafanyika mkoa humo.

No comments:

Post a Comment