Sunday 22 September 2013

Kimwaga awaliza Yanga SC

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Joseph Kimwaga ameifungia timu yake bao la ushindi dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom ambao ulimalizika kwa Azam FC kupata ushindi mnono wa magoli 3-2 mechi iliyochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Magoli ya Azam FC yamewekwa wavuni na nahodha John Bocco 1', Kipre Tchetche 69' (pnt) na Joseph Kimwaga 90' 
Pongezi kwa wachezaji wa Azam FC

No comments: